mimi ni mdada mwenye umri wa miaka
29 .nimeokoka nasali kanisa la fpct .tatizo langu sijapata mume aliyeokoka kila
ninaye mpata hajaokoka na mimi natamani sana kuolewa na mwanamme aliyeokoka na
mwenye hofu ya mungu lakini mapaka sasa sijapata hii hali inanitesa sana moyo
wangu maana hata mdogo wangu wa mwisho amepata mimi bado.nimechoka kuwa pekee
yangu natamani kuwa na familia na kuwa na watoto.nimefurahi sana kukuona blog
yako Mungu akubariki kwa kuanzisha blog hii .
Monday, July 30, 2012
Thursday, July 26, 2012
ANATAFUTA MCHUMBA MWENYE HIZO SIFA JAMANI.......... (Hii picha sio yeye, ila ni kuonyesha msisito wa kijana anataka mke kweli.....
Habari yako dada. kwanza kabisa
nakupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya ya kutoa ushauri, na pili napenda
kuomba msaada wako, uniwekee hii post yangu ya kutafuta
mchumba kwenye blogu yako. Na maelezo yangu ni kama ifuatavyo;
kama uko serious niinbox mimi
violet.gerald@yahoo.com ili nikupe mawasiliano yake
Monday, July 16, 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)