mimi ni mdada mwenye umri wa miaka
29 .nimeokoka nasali kanisa la fpct .tatizo langu sijapata mume aliyeokoka kila
ninaye mpata hajaokoka na mimi natamani sana kuolewa na mwanamme aliyeokoka na
mwenye hofu ya mungu lakini mapaka sasa sijapata hii hali inanitesa sana moyo
wangu maana hata mdogo wangu wa mwisho amepata mimi bado.nimechoka kuwa pekee
yangu natamani kuwa na familia na kuwa na watoto.nimefurahi sana kukuona blog
yako Mungu akubariki kwa kuanzisha blog hii .
Sasa bibie tukupataje na wewe hujaweka contacts zako? Halafu unapochagua kuwa unataka aliyeokoka umeshindwaje kumpata huko kanisani kwako ambako wote mnajiita mmeokoka? Hilo tu linanipa wasiwasi sana kwa ninyi nyote mnaosema tumeokoka na labda hujui nini maana ya kuokoka na ndio maana umeshindwa kumpata mtu wa kuolewa naye. nadhani ungesema unahitaji kupata mtu ambaye anamcha Mungu.Lakini ukiongeza hilo la "aliyeokoka' unajiongezea wigo zaidi. Tuma tena tangazo lako na rekebisha mahitaji yako na weka contacts zako.
ReplyDeletedada kama una mwonekano mzuri unavutia tuwasiliane.Naitaji mke mwenye mvuto na mcha mungu najiona nitakua salama zaidi. sinbadbaharia@gmail.com
ReplyDeletemi nafikiri hao uliowahi kuwapata hukuwapenda/hawakukupenda..nikiwa na maana ya kwamba ww ndie unaeweza kuwabadilisha na kuwafanya waokoke na kuwa na hofu ya mungu sio lazima kumpata aliyeokoka unless other wise subiri mungu akushushie huyo unayemtaka amina
ReplyDeleteNATAFUTA MDADA MZUUUURI TUPEANE PENZI TAAAAAMU! 0654389929
ReplyDeleteWeka contacts zako basi mimi naona wewe unaweza kuwa mke wangu mwema kwa sababu umeokoka.nami namcha Mungu.
ReplyDeleteUmeshindwaje kumpata huko kanisani kwenu. Endelea kwenda kanisani tu utampata huko huko kanisani. Maana huyo ndiyo utakuwa na uhakika na
ReplyDelete