Friday, August 24, 2012

NIFANYE NINI ILI KUONDOA VINYWELEO MWILINI MWANGU????

Dada samahan ningependa kufahamu dawa ya kuondoa vinyweleo mwilin
nisaidie napata shida na aman sina naitwa mary nipo dodoma niliona
uliwahi kumshaur mtu pia tatizo kama langu sa sijui alifanikiwa?




4 comments:

  1. VINYWELEO VIPO SEHEMU GANI?/ MWILI MZIMA AU MIGUUNI TU?? ATUWEKE WAZI TUJUE JINSI YA KUMSAIDIA

    ReplyDelete
  2. Tafuta saluni za kihindi au kiharabu na uwe unafanya waxing, ya unakua soft kama huna vinyweleo, vinaanza kuota baada ya mwezi na nusu then unafanya tena. Kwa hapa tz sudhan kama kuna njia permanent ila kwa wazungu zipo kama electrolysis tho nao wengi wanafanya waxing.Mi ni muathirika pia lakin hakuna mtu anajua kama ninavinyweleo nafanya waxing vikianza tu.

    Usijaribu kutumia kiwembe vinazidi na vinakua vigumu pia mwili unamkwarua mtu akikugusa

    ReplyDelete
  3. mh! mimi sidhani kama kuna dawa ya kuondoa vinyweleo visirudi tena,,, sina hakika na hilo kabisa,, nafikiri kuwa ni maumbile tu!! JIAMINI, JIKUBALI KWAMBA HIVYO NDIVYO ULIVYO,, HAITAKUSUMBUA KAMWE

    ReplyDelete
  4. TAFUTA VEET DADA, NI KIBOKO,,, ACHANA NA WAXING ITAKUUMIZA TU!

    ReplyDelete