Wednesday, August 22, 2012

HIVI KATI YA MKE NA MUME--- NANI MWENYE MAPENZI YA KWELI???

Ni swali ambalo huwa najiuliza sana, sipati majibu,,,, KATI YA MKE NA MUME, Ni nani anaekuwa chanzo cha kuvunja uaminifu ndani ya nyumba,  Ni nani sio mkweli???,

Baada yakujibu hayo, hebu tuzungumze jamani,,,,,, UTAJUAJE KAMA UPO WEWE PEKE YAKO… kwa huyo uliye nae??? Kuna njia zozote za kufanya ili kuprove kwamba uko peke yako??? 




6 comments:

  1. violet, asante kwa mada nzuri uliyoiweka. mimi naamini asilimia kubwa ni wanaume ndio ambao wanaongoza kutoka nje, kutokana na tamaa zao za kipuuzi, mimi yalishanitokea ndio maana nawaachukia wanaume na sitakuja kumuamini mwanaume hata mmoja hadi nakufa,,, niliyotendwa ni makubwa violet, ngoja nikutumie email, uipost wasome woote kwa faida zao...

    ReplyDelete
  2. WANAWAKE NDIO WA KWANZA KUSHAWISHIKA NA KUFANYA YASIYO STAHILI,,,,,

    ReplyDelete
  3. WANAUME NA UMALAYA WAO NDIO WANAONGOZA KUTOKA NJE,, MIMI WANANIKERA SANA HAWA VIUMBE,, SIJUI NAWAONAJE, WANAWAKE HADI KUAMUA KUTOKA NJE NI KUTOKANA NA MITABIA YA JALALANI YA WANAUME,, LAKINI MWANAMKE NI MTU MWENYE MSIMAMO KAMA ATAPATA PENZI LINALOSTAHILI KWA MWENZIE

    ReplyDelete
  4. JAMANI WANAUME NAWACHUKIA BALAA, WANATABIA MBAYA, SITAKAA NIMUAMINI MWANAUME NDANI YA MAISHA YANGU HATA MMOJA. JAPO NIPO KWENYE NDOA.

    ReplyDelete
  5. NAWACHUKIA WANAUME KULIKO KIFO,WANAUME AWANA MAPENZI YA DHATI ATA KIDOGO,KATIKA AYA MAISHA UKIPENDA MWANAUME UJUE UNAJICHIMBIA KABURI MWENYEWE.

    ReplyDelete
  6. Wanaume hawafai kabsa nawachukia sana,,kwani wanarudsha nyuma maendeleo ya wanawake

    ReplyDelete