Habari yako dada. kwanza kabisa
nakupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya ya kutoa ushauri, na pili napenda
kuomba msaada wako, uniwekee hii post yangu ya kutafuta
mchumba kwenye blogu yako. Na maelezo yangu ni kama ifuatavyo;
Naitwa
Salim Athuman, umri wangu ni 27, kwa imani ni Muislamu na kwa sasa
ninaishi DSM.Nahitafuta msichana mwenye umri kati ya 22 hadi 25 na sifa
kubwa awe
Muislam, mpole na mwenye kujiheshimu na kujistiri(Mwenye kuvaa mavazi ya
heshima). Itakuwa vizuri awe mweupe/ maji ya kunde, mrefu kiasi na
mnene kiasi na mwenye elimu at least diploma. Dhumuni kubwa ni kuwa
mchumba wangu kwa sasa na hatimaye Mungu akipenda tuje kufunga ndoa na
kuishi pamoja hapo baadae. Kiukweli nimevumilia sana kuwa mwenyewe kwa
kipindi chote
nilichokuwa nasoma, japokuwa kwa sasa bado naendelea na elimu zaidi
ila nahitaji na mimi kuwa na mwenza wangu. Tafadhali kama upo tayari
kuwa nami naomba tuwasiliane.
kama uko serious niinbox mimi
violet.gerald@yahoo.com ili nikupe mawasiliano yake
MBONA MASHARTI MENGI SANA
ReplyDeleteWISHING YOU ALL THE BEST MKUU, VUMILIA TU UTAMPATA TU, WAPO HUMU JAPOKUWA WACHACHE SANA
DeleteNATAFUTA MDADA MZUUUURI TUPEANE PENZI TAAAAAMU! 0654389929
ReplyDeleteNATAFUTA MDADA MZUUUURI TUPEANE PENZI TAAAAAMU! 0654389929
ReplyDeleteNATAFUTA MDADA MZUUUURI TUPEANE PENZI TAAAAAMU! 0654389929
ReplyDeleteNATAFUTA MDADA MZUUUURI TUPEANE PENZI TAAAAAMU! 0654389929
ReplyDelete