Style ya nywele ukiinama kichwani, sijui niitaje, this style anasuka mtu yeyote, mwenye nywele fupi na ndefu |
u see |
hii nayo sijui tuite kiduku, sijui tuiteje, katikati yeboyebp pembeni mabutu |
umeona eeeee |
some times nikiamua mwenyewe nazitimua kama hivyo unavyoona |
hii nayo sijui nisemaje, unapanga style ya malinda kichwani, kama hapa kati inavyoonekana, then mwisho unaziachia |
hii ya kawaida tu, yebo kubwa na ndogo, |
nimependezaje???? |
umenoga, hasa hiyo style ya kwanza
ReplyDeleteKwa kweli umependeza mpendwa wangu, lakini hiyo style ya mwisho si unatakiwa kuwa na nywele ndefu kama za kwako???? fupi zitakaa kweli?
ReplyDeletePENDESHA MAMY,
ReplyDelete