Friday, September 21, 2012

NJOONI TUZUNGUMZE--- HIVI KUNA KOSA LISILOSAMEHEKA?

binadamu kama binadamu tunakosea sana, kuna mambo mengi sana ambayo mwenzio akikufanyia especially kwenye suala la mapenzi, unaweza ukalia sanaa, ukashindwa hata kusamehe, sasa hebu njooni tuzungumze,,, hii ya kutokusamehe, iko sawa kweli?????? na kama yapo makosa yasiyo sameheka, hebu yataje hapa, tuyajue,,,, maana mimi violet Gerald, naamini kwamba makosa yoote yanaweza kusameheka, ila inategemea na jinsi wewe mwenyewe ulivyolichukuliwa,, umelipaje uzito hilo kosa ulilokosewa??????? karibuni tufundishane

2 comments:

  1. Haiko sawa maana binadamu tumeumbiwa kukosa na msanaha ni sehem ya maisha yetu

    ReplyDelete
  2. kuna neno kusamehe lakini kusahau hakuna....hiyo nayo imekaaje. kuna vidonda vingine balaaa

    ReplyDelete