Thursday, May 24, 2012

MPENZI WANGU AMEFUNGWA MIRIJA YA UZAZI… JE INAWEZA KURUDISHWA AKAZAA TENA?

Naombeni ushauri wenu wapendwa nimepata mchumba ambae yuko serios kunioa, .lakini before kuwa na mimi aliwahi kuzaa na mzungu,  na  badae wakakubaliana mwanaume afanyiwe vacastomy, akakubali wakamfanyia, .. baadae wakatengana na huyo mzungu ndio nikawa nae mimi,
Kweli tunapendana sana mpenzi wangu, yani zaidi y asana, swali,,,, nikubali kuolewa nae???? Anaweza kuja kuzaalisha tena??? Au uwezekano wa kuzalisha tena hatakuwanao? Nataka nijuwe mapema kabla sijachuwa maamuzi, ila kwa ufupi tunapenda sana,,,, nategemea ushauri wako dada/



2 comments:

  1. ­Reversal is definitely a tempting option, but it's not always successful. One effect of a vasectomy is that the body can actually cease to recognize its own sperm and can develop antibodies to it. If this has occurred, chances are low that a vasectomy reversal will enable a man to impregnate his partner. Another factor is how long someone waits to change his mind. Even if the vasovasostomy does result in a successful restoration of the "sperm superhighway," the chance of pregnancy is lower than it was before the vasectomy.

    ReplyDelete
  2. POLE sana mdogo wangu,minaamini yeye muhusika atakuwa na majibu mazuri kwani yuko Nchi gani?maana kama yuko Ulaya huwa wanaambia faida na hasara zake na uwezekano wa kureverse au sio,muulize yeye muhusika ,or uende hospitali muulize daktari,kama uko Tanzania nenda Marie Stope wanautalaam huo,kila la kheri dada.

    ReplyDelete