Aunt mm ni msichana mwenye umri wa miaka 27,nimeolewa na nina mtoto 1,nina matatizo 2 ambayo yanaisumbua akili yangu,tatizo la kwanza
1)niliolewa miaka 5 iliyopita,siku ya ndoa nilikaa na mume wng siku 3 akasafiri kwenda uk kutafuta maisha kwa bahati nzuri nilishika mimba ndani ya siku 3 hizo,so nikaa peke yng na bila yakuuingiliwa mpk kujifungua,kwa bahati mume wangu akarudi tz baada ya mtoto wetu kua na mwaka 1 na nusu,hiyo ikawa mara yangu ya 2 kuingiliwa coz aliniowa na bikra na niliamua kujitunza pia katika ndoa yng,lkn tatizo likaja alipokua akiniingia alikua akinambia natowa maji sana chini so hajiskii raha ya kusex,nilipooanda vile nikenda kwa gynocologist km wawili hivi tofauti tofauti ili wanianglie km nina tatizo kwa bahati nzuri wote wakanambia nipo ok sina tatizo kama wanawake wenzaangu,yaani nipo normal.
Baada ya hapo mume wangu akasafiri tena mpk hii leo mwaka wa 3 tena sijaonana nae kimwili wala mwanamme yoyote yule na yote kwa kujituliza na kujiheshimu katika ndoa yangu,juzi juzi km miezi 2 hivi nimepata tatizo jengine ambalo nina ukosefu wakupata choo kikubwa so nikenda chooni nikijikamuua kidogo 2 napata maumivu makali kuanzia anus mpk kwenye virgina,ss aunt naomba ushauri wako katika matatizo yng haya 2?na pia sijawahi kuingiliwa kinyume na maumbile.
Mmmmh jamani anamcheat jamani wanaume hawa,sasa kama anatoa maji si watafute wote solution hayo ndio mapenzi ya kweli!3yrs hajarudi dah ebu tusikilize wengine watasemaje!pole sana dada
ReplyDeleteAnneth Kyejo
Khs choo kuwa Ngumu mshauri ale vitu Vya kulainisha choo Kama bamia au mapapai yanasaidia,ila Hilo la majimaji ukeni wingne ni maumbile Yao ila Kama anotoa harufu itakuwa ni infection apimwe kipimo cha Hvs ni cha ndani ya uke
ReplyDeleteLusungu Msilama Ngailo
dou!!! namwonea huruma na hilo penzi la mbali, kwanza kuhusu kuwa na maji mengi hilo tatizo nishawahi kulisikia kwa watu wengii na ni maumbile ya mtu,pili hilo tatizo la maumivu bora amwone doctari afanyiwe uchunguzi.
ReplyDeleteAmina Millanzi
bamia inaongoza kwa kuongeza maji hko kwa bibi yaani kama mtu anataka kutest anywe supu ya bamia ataona jinsi atakavyowet wakati wa kuduu
ReplyDeleteDamary Lingowe
Sijui nisemeje?? nimejikuta nakosa cha kusema. Namwombea mungu amjalie, amuepushe na lolote baya! amtengeneze maumbile yake kama mume wake anavyohitaji. ameen.
ReplyDeleteZainab Sandewa
Arudi kwa dr. Ila na huyo bb ht km ndo kutafuta maisha ndo aiche familia yake muda wote huo.mmh
ReplyDeleteJane Peter
Mwenzangu atakama wana ma empty boxes sijuh ila dats is to much jaman. Eh na kama mke anatoa maji bila ya yy kuna naushirikiano wa kumsahidia nani akamsahidie. Anataka kuleta kisingizio dada wawatu anachet au. Nauko aliko lazima atakuwa na mwanamke tu hiyo LAZIMA kwa herufi kubwa
ReplyDeleteGetrude Fredrick Minde
jamani hata hiyo ndoa ina walakini! kwa nini wasiishi pamoja huko? hiyo itawasaidia kuface tatizo wote wawili na kutafuta madr kwa pamoja! Mungu amsaidie huyo bint
ReplyDeleteRehema M. Kayichile
Dah...huyu dada nanuonea huruma,aende hospital for proff help ila kuhusu huyu mmewake me simuamini. Hata kidogo!huyu dada amchunguza kabla hajaja ku regreat kwa kupoteza muda wake!
ReplyDeleteSalvatoria Simfukwe Ndejembi
huyo mwanaume amemtafutia sababu tu ana mwanamke mwingine mbona hayo maji hakuyaona mwanzoni walivyoana?
ReplyDeleteYusrah Khalid Othman
aende hosp akafanyiwe vipimo juu ya afya yake. Pia kuhusu mumewe huko aliko anachakachukua tu, mwamaume akae mwaka bila ku do haiwezekani.
ReplyDeletePold zake mwambie kama anakifua aeanye uchunguzi juu ya hubby wake huko aliko atajua kila kitu
. Benedicta Sizimwe Modu
khs tatizo la choo kuna wa2 wana hayo matatizo unatakiwa unywe maji mengi sana nadhani lita 3 kwa sikt toka asbh unapoamka mpaka usiku, pia kula matunda na vyakula ambavyo vina high in fibre, bila kusahau mboga mboga za majani,,, ukishindwa itabidi uwe unakunywa dawa ya kusaidia kupata choo nimesahau jina unakoroga km juice unakunywa, inapatikana kwenye pharmacy,,,
ReplyDeleteYasmin Amri
Jaman hlo tatizo la choo si dogo, hata ale nn kuna ambao haiwasaidii, kuna office mate wangu kila siku anakula matunda aina tano, juicy lita moja na maji lita mbili, na anakula ugali dona tu, mboga mboga na wali wa brown rice, mikate brown, ila anakaa wek au zaid bila kupata choo, na alienda kwa dr hapo agah khan alippewa dawa hazikumsaidia, yan hadi alienda india napo bado ila ni ugonjwa upo so aende hosp
ReplyDeleteHerieth Gilbert
mh pole sana inabidi afunge safari aende tu huko huko waishi pamoja watafute wote,kuhusu kupata choo ajitaidi kunywa juice ya ukwaju ni inasaidia sana
ReplyDeleteArafa Faki
Pamoja na kunywa maji kwa wingi, ajijengee tabia ya kujipatia choo kila siku. Hili ni tatizo la wengi jamani, mtu unakaa siku tatu bila kuhudhuria chooni na unona sawa tu, chakula unachokula kila siku the longer kinabaki tumboni bila kutoka the more mwili wako unavyonyonya maji ndo maana watu hupata choo kigumu. Ukienda kila siku hata mwili wako utakuzoesha hata kama wewe mwenyewe hukuwa na wazo utakukumbusha. Mfano ukiamua unataka kwenda kila asubuhi baada ya chai, kila ikifika mida hiyo baada ya chai wala hufikirii, mwili wenyewe utakuambia.. But it needs repetitions so in the beggining you might need to just go there and wait for few min. But afterwards it pays off choo laini!!
ReplyDeleteIkupa Hakimu
Mmmmh sina hakika sana hiyo shida ya kutokwa ute mwingi(tukisema maji twakosea) inaweza kuwa kwa sababu ya kukaa muda mrefu bila ya kufanya mapenzi.In normal circumstances kama utakuwa mbali kwa muda mrefu na mwenza wako siku akirudi utanotice kuwa unakuwa so wet mapema sana ukilinganisha na siku amabzo mpo wote kwa muda mrefu,isiwe hilo ndio alilonotice mume wake na bila kujua akajisemea ku una maji mengi,na huo muda aliorudi waliweza kufanya mapenzi muda gani na hilo tatizo yeye mwenyewe aliweza kunotice au ni mumewe tu ndio aligundua hilo??? Kuhusu constipation ajaribu kunywa maji mengi sana na wakula ambavyo vina high amount of viber na pia atumie castrol oil kwani haina madhara kwa yeye kucompare na kutumia vidonge kama ducolax na vinginevyo,awe makini na swala la constopation kwani laweza msababishia ugonjwa huu Hemorrhoid(Kuwa na growth kwenye rectum)
ReplyDeleteTinna Tanna
dear we ni daktari ?
Deletedear we ni daktari ?
DeletePole sana, atakua ana nyama zimeota nyuma kwake ndizo zinamletea maumivu, cha muhimu aende kwa dr atamsaidia. Aneth Biteya
ReplyDeletePOLE SANA DADA ILA JARIBU KUFANYA UCHUNGUZI ZAIDI
ReplyDeletePole sana binti yangu mpendwa em jipeleke kwa dr akusaidia tatizo la choo kuwa kigumu ila unaweza ukatumia dawa aina ya doculase ikusaidie kupata choo laini
DeleteWhat is Doculase (docusate)?
Docusate is a stool softener. It makes bowel movements softer and easier to pass.
Docusate is used to treat or prevent constipation, and to reduce pain or rectal damage caused by hard stools or by straining during bowel movements.
Read more at http://www.drugs.com/mtm/doculase.html#RVMSQV8yvkdAr11L.99
achana nae, muuni uyo mumeo. uku uk anazini hovyo ndio maana hana sida na wewe. au anamke mwingine wa kizungu au muafrika. ndio maana haji kukuchukua. Nini maana ya ndoa jamani. maji unayotokwa ni ya kawaida, kama mwanamke hajafanya mapendi mda mwingi anakuwa na nyege sana, na maji yanatoka kama bomba ahaa, mumeo elim ndogo, hahahah,
ReplyDeleteNawe una moyo wa kuvumilia, mie nisingeweza, dai talaka ulewa uko uko, wanaume wa Uk hawana future, kula kulala, wanategemea serikali tu na kutapeli wanawake wengine pesa. Hivi akija uko anatafuta sababu ya kukukatalia usije uku, ndio maana anakusingizia una maji. Pengine hayo maji wala hauna bwana. muongo anatafuta sababu ya kukuacha, pole.
uwe na moyo wa kuvumilia
ReplyDeleteKAMA MNENE BASI FANYA DIET KIDOGO ITAPUNGUZA MAJI MENGI YANAYO TOKA WAKATI WA TENDO LA NDOA, JITAHIDI PIA KULA LIMAO PIA ITASAIDIA KUPUNGUZA TATIZO LA MAJI MENGI.
ReplyDeleteJARIBU PIA KUONGEA NA MMEO ILI MPATE SULUHISHO LA TATIZO HILI KWA PAMOJA.