NAWAPENDA WAPENZI WANGU, NILIKUWA NA MITIHANI CHUO, LAKINI NAMSHUKURU MUNG SANA NIMEMALIZA MITIHANI SALAMA, NIMEBAKIZA MASOMO MAWILI TU AMBAYO NITAAZA MWEZI UJAO ILI KUMALIZIA COZI YANGU |
ANAITWA ASHA, SHOST YANGU AMBAE TULIKUWA TUKIELEKEZANA KATIKA MITIHANI YETU |
NIKIWA BUSY UTANIJUA WEWE!, ALL IN ALL, NAWATAKIWA WAISLAMU WOOOOTE EID NJEMA, |
No comments:
Post a Comment