mh! wabongo tumezidi ubahiri wewe utakaaje na nywele miezi miwili mitatu jamani?? hata waseme? kwanza nywele zinaficha mambo mengi sana hadi kunuka na hata chawa waweza ingia, lo! mi staki JOYS
umejuajaje violet, mimi nina rafiki yangu ambae akisuka nyweli anakata miezi mitatu, ndio anasuka zingine, haendi salon wala nini, madai yake hela iende kihalali, mh! kazi kweli, ila kiuhalisia, style hii ya kukaa na nywele miaka, inakata nywele, kama hizi za kimasai, nyweli zinaisha kabisa, mwanamke suka nywele, wiki au wiki mbili then fumua, Mama Wini
Naomba kuuliza na kutoka nje ya mada ni Hair Dressing Saloon ama Hair Dressing Salon kwani mie najua yenye double o ni ya gari, samahani kama nimekukwaza
asante kwa kuonyesha umakini wako katika kufatilia neno moja baada ya jingine, asante sana, ni kweli its a typing error, but im going to work on it. stay blessed
Jamani nywele kawaida ni wiki moja tu kwani nionavyo mimi mwanamke yeyote huwa anapendeza au kuonekana amependeza ikiwa tu kichwani kwake ni kuzuri yaani hair style yake awe amekata or kusuka huwa inavutia sana, ila wapo wanaokaa na nywele hadi miezi mitatu ukizingatia siku hizi kuna joto sijui hapo inakuwaje na ukija kufumua nywele zingine mpaka zinakatika kwa joto zinakuwa zimechoka. mimi kama mimi naona wiki moja tu inatosha Mama Mario
mnashangaa miezi mitatu tuuu??!! mi huu namaliza mwezi wa tano,na sina mpango wa kuzifumua! kinachotakiwa osha nywele zako kila wiki, utakuwa bomba tuu
mh!
ReplyDeletewabongo tumezidi ubahiri
wewe utakaaje na nywele miezi miwili mitatu jamani?? hata waseme? kwanza nywele zinaficha mambo mengi sana hadi kunuka na hata chawa waweza ingia, lo!
mi staki
JOYS
umejuajaje violet, mimi nina rafiki yangu ambae akisuka nyweli anakata miezi mitatu, ndio anasuka zingine, haendi salon wala nini, madai yake hela iende kihalali, mh! kazi kweli, ila kiuhalisia, style hii ya kukaa na nywele miaka, inakata nywele, kama hizi za kimasai, nyweli zinaisha kabisa, mwanamke suka nywele, wiki au wiki mbili then fumua,
ReplyDeleteMama Wini
jamani nywele kichwani miezi mitatu kwa mwanamke ni uchafu duh utawatia mafua wenzako usafi ni muhimu dada
ReplyDeleteMmhhh jamani kukaa na nywele miezi miwili ni hatari na ni uchafu mkubwa sana kwa mwanamke anaejua nini usafi.
ReplyDeleteNaomba kuuliza na kutoka nje ya mada ni Hair Dressing Saloon ama Hair Dressing Salon kwani mie najua yenye double o ni ya gari, samahani kama nimekukwaza
ReplyDeleteasante kwa kuonyesha umakini wako katika kufatilia neno moja baada ya jingine, asante sana, ni kweli its a typing error, but im going to work on it.
ReplyDeletestay blessed
Jamani nywele kawaida ni wiki moja tu kwani nionavyo mimi mwanamke yeyote huwa anapendeza au kuonekana amependeza ikiwa tu kichwani kwake ni kuzuri yaani hair style yake awe amekata or kusuka huwa inavutia sana, ila wapo wanaokaa na nywele hadi miezi mitatu ukizingatia siku hizi kuna joto sijui hapo inakuwaje na ukija kufumua nywele zingine mpaka zinakatika kwa joto zinakuwa zimechoka.
ReplyDeletemimi kama mimi naona wiki moja tu inatosha
Mama Mario
mnashangaa miezi mitatu tuuu??!! mi huu namaliza mwezi wa tano,na sina mpango wa kuzifumua! kinachotakiwa osha nywele zako kila wiki, utakuwa bomba tuu
ReplyDeletehahahahaaaaaaaaaa
ReplyDeletemiezi mitano? too much,
lakini unajua madhara yake???
ukija kufumua utakuta upara kama umetiwa wembe
shauri yako