tag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post8248269966746369093..comments2024-03-13T06:35:09.077-07:00Comments on MAISHA , MAPENZI, UREMBO: Mazoezi ni Muhimu sana Kwa Afya Njema ( Weekend Njema)VIOLET........http://www.blogger.com/profile/17454645674881089302noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-23831410781874012732010-02-11T02:29:41.865-08:002010-02-11T02:29:41.865-08:00Jamani nimeanza mazoezi si utani siku ya kwanza ni...Jamani nimeanza mazoezi si utani siku ya kwanza nililala mwili wote unauma. lakini sasa ninasiku ya tano mambo mazuri kabisa, na mwili na nauona mwepesi sana sasa inabidi nipunguze vyakula nataka kuwa miss angalau nivae size 14 asanteni kwa ushauri <br />mpendwaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-15377981957202593362010-02-08T05:15:07.657-08:002010-02-08T05:15:07.657-08:00Pole sana dada unayewashwa mwili mzima ukifanya ma...Pole sana dada unayewashwa mwili mzima ukifanya mazoezi. Nimesoma coment yako nikajaribu kuperuzi kwenye vyanzo ila bado sijapata. Kikubwa hapo ni ile hali ya kulimbikiza kwa sumusumu kwelu ngozi amabyo ilitakiwa kutoka kwa jasho ikiambatana na maji, chumvi na mafuta. Vyote hivi vinakuwa havihitajiki kwenye mwili. Sasa unafonya mazoezi mwili huchemka na vile ule uchafu huanza kuchemka na kutakiwa kutoka. Hapo ndipo mwili unaanza kuwasha. Ila kama utaendelea na mazoezi kwa kutojari muwasho baada ya siku au hata siku hiyo hiyo muawasho hauendelei tena. Ila kesho yake utakuwepo tena kidogo mpaka utaisha kabisa. hiyo itatokana na kuondoa sumu zote kwenye ngozi. Nakushauri vumilia na endelea na mazoezi. Na kuna dada huyo amesema hata akiona matope ama uchafu, pia nae huwa anakinyaa fulani. Sasa mwili husisimka mara tu anapoona huo uchafu, na kusababisha mwili kuchemka au kuamsha mchemko fulani. Basi huamsha zile sumu zinazotakiwa kutoka mwilini ambazo zipo tu kwenye ngozi na kuanza kumuwasha. Ila si ugonjwa. Wote nawashauri kazaneni kwenye mazoezi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-13412879440843530892010-02-05T22:10:28.926-08:002010-02-05T22:10:28.926-08:00Emmy
mie mwenyewe nilikuwa na tatizo kama lako, na...Emmy<br />mie mwenyewe nilikuwa na tatizo kama lako, na kwasasa hivi limepungua kidogo, lakini hili linasababishwa na mwili kutokuwa na mazoezi, kujiachia, mtu unakaa tu bila mazoezi, hukimbii hadi usikie mabomu yanalipuka ndio unakimbia, lakini kwa ushauri tu! fanya mazoezi kwa muda kidogo, then utaona tofauti zilizopo. mimi hii ya kujikuna huwa inaniingia sio tu kwakutembea kwa kasi, lakini hata nikiona uchafu, hasa kipindi cha mvua, basi we! panakuwa hapatoshi, huwa najikuna hadi nakaa chini, nilishawahi kwenda hospitali, nikapewa dawa nikatumia, lakini haikusaidia hata kidogo, nikiona mafua, kinyesi au nikikanyaga matope tu! basi mwili unasisimka sana hapo hapo naanza kujikuna hasa kwenye miguu na kwenye mapaja.inakera sana, but mazoezi yanasaidia kwa sehemu<br />weekend njema mpenziVIOLET........https://www.blogger.com/profile/17454645674881089302noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-63943417563291656772010-02-05T21:50:24.724-08:002010-02-05T21:50:24.724-08:00mh! mwenzangu, bora hata ulivyotushauri nini cha k...mh! mwenzangu, bora hata ulivyotushauri nini cha kufanya, lakini mbona mimi ni mvivu sana kutembea? mbona nikitembea kidogo moyo unanienda mbio??? halafu mbona mimi najihisi labda nini shida? maana nikitembea kwa kasi tu huwa nawashwa mwili mzima, nawashwa sana hadi kichwani, na hasa kwenye nyayo na mapaja, kwa kifupi huwa nawashwa mwili wangu woooote, naomba ,mnisaidie juu ya hili, nalo nitalitoaje? yani hata nikikimbia tu! huwa nawashwa mwili mzima<br />EmmyAnonymousnoreply@blogger.com