tag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post6201493778770961016..comments2024-03-13T06:35:09.077-07:00Comments on MAISHA , MAPENZI, UREMBO: NAHISI RAFIKI YANGU ANATEMBEA NA MUME WANGU - NIFANYAJEVIOLET........http://www.blogger.com/profile/17454645674881089302noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-54030890517517099922010-10-29T13:23:30.823-07:002010-10-29T13:23:30.823-07:00pole sana, nimeguswa sana jamani, kweli wanawake t...pole sana, nimeguswa sana jamani, kweli wanawake tunateseka sana kwenye ndoa zetu, dada mpendwa una kazi ya kukuingizia kipato ?? mna watoto ?? jamani... nimesikitika sana nitakuombea mpendwa, mimi nimeolewa nina miaka zaidi ya 8 na mume wangu na leo ni birthday yake na mimi niko mbali na nyumbani (nchi nyingine ) ila nilijitahidi kukesha hadi saa sita za usiku nimuimbie...kwakweli sijaona kama yeye, namshukuru sana Mungu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-33855826548263974512010-09-15T04:30:13.112-07:002010-09-15T04:30:13.112-07:00best hapo juu uliyesema ushoga uishie oficini umen...best hapo juu uliyesema ushoga uishie oficini umenifundisha kitu mm ndio kwanza mgeni ndoani nna ndoa ya mwezi tu na nikiangalia mashoga zangu wengi ndoa zao zimevunjika tena za kanisani kwa kweli ushoga itabidi uishie kwa ofisi tu mana kaaz kweli kweliAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-37100199128720994362010-09-14T02:28:52.228-07:002010-09-14T02:28:52.228-07:00POLE SANA DADA MARAFIKI NI WATU WABAYA SANA. UKISH...POLE SANA DADA MARAFIKI NI WATU WABAYA SANA. UKISHAOLEWA HUTAKIWI KUWA NA RAFIKI WA KUJA NYUMBANI MARA KWA MARA MNAONANA HUKO KAZINI BASI MNAMALIZA MAONGEZI IKITOKEA KAJA NYUMBANI UNA SHEREHE UNAMUALIKA NA SIO KUJA MPAKA MUMEO AMZOEE. MIMI NDIVYO NINAVYOISHI KWASABABU MIDUME DUME HAIFUGIKI. SIJUI TUWAFANYE NINI HAWA WATU NI KUWAOMBEA TU. MAMAAA JOSEAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-91804737213630707502010-09-09T03:00:42.524-07:002010-09-09T03:00:42.524-07:00Sikia Dada siku zoote malipo ni hapa hapa duniani ...Sikia Dada siku zoote malipo ni hapa hapa duniani mface rafiki yako mwambie nashukuru sana kwa yoote pia mweleze na mumeo umegundua kitu akikufukuza ondoka kaishi kwenu ila lia na mungu wako piga goti lako mungu atawaunguza tuu usisononeke wala nini as long as una kazi yako fanya kazi ndo awe mume mwachie hata kibiriti ni laan moja wapo kaa kwenu jipange na wala usilipize kwa kutafuta mtu mungu atakuletea mtu utashangaa na ipo siku huyo huyo mumeo atakuja piga goti wakati huo wewe uko mbali lia na mungu wako mweleze uliolewa uteseke,Na kma ni mume wako halali basi akupe ...Utakuja toa ushuhuda humu humu kwa dada VaiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-62536038596464391292010-09-09T02:03:29.199-07:002010-09-09T02:03:29.199-07:00unaogopa nini? wawashie taa wote, akikutimua ondok...unaogopa nini? wawashie taa wote, akikutimua ondoka na usiishi kama mtumwa, pole sana,<br />hujui kama dunia ya sasa rafiki ndio adui wako mkubwa? pole sanaAnonymousnoreply@blogger.com