tag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post5260469842068630290..comments2024-03-13T06:35:09.077-07:00Comments on MAISHA , MAPENZI, UREMBO: mwanamke akisuka nywele anatakiwa kukaanazo kichwani siku ngapiVIOLET........http://www.blogger.com/profile/17454645674881089302noreply@blogger.comBlogger9125tag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-35967157495969962072010-01-26T03:01:34.109-08:002010-01-26T03:01:34.109-08:00hahahahaaaaaaaaaa
miezi mitano? too much,
lakini u...hahahahaaaaaaaaaa
miezi mitano? too much,
lakini unajua madhara yake???
ukija kufumua utakuta upara kama umetiwa wembe
shauri yakoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-42455988175218628672010-01-25T06:30:54.498-08:002010-01-25T06:30:54.498-08:00mnashangaa miezi mitatu tuuu??!! mi huu namaliza m...mnashangaa miezi mitatu tuuu??!! mi huu namaliza mwezi wa tano,na sina mpango wa kuzifumua! kinachotakiwa osha nywele zako kila wiki, utakuwa bomba tuuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-1611626910916471132010-01-22T03:32:21.469-08:002010-01-22T03:32:21.469-08:00Jamani nywele kawaida ni wiki moja tu kwani nionav...Jamani nywele kawaida ni wiki moja tu kwani nionavyo mimi mwanamke yeyote huwa anapendeza au kuonekana amependeza ikiwa tu kichwani kwake ni kuzuri yaani hair style yake awe amekata or kusuka huwa inavutia sana, ila wapo wanaokaa na nywele hadi miezi mitatu ukizingatia siku hizi kuna joto sijui hapo inakuwaje na ukija kufumua nywele zingine mpaka zinakatika kwa joto zinakuwa zimechoka.
mimi kama mimi naona wiki moja tu inatosha
Mama MarioUnknownhttps://www.blogger.com/profile/17904548950023505261noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-27438535558952670292010-01-22T01:14:54.726-08:002010-01-22T01:14:54.726-08:00asante kwa kuonyesha umakini wako katika kufatilia...asante kwa kuonyesha umakini wako katika kufatilia neno moja baada ya jingine, asante sana, ni kweli its a typing error, but im going to work on it.
stay blessedVIOLET........https://www.blogger.com/profile/17454645674881089302noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-84998632543389112132010-01-22T00:27:46.467-08:002010-01-22T00:27:46.467-08:00Naomba kuuliza na kutoka nje ya mada ni Hair Dress...Naomba kuuliza na kutoka nje ya mada ni Hair Dressing Saloon ama Hair Dressing Salon kwani mie najua yenye double o ni ya gari, samahani kama nimekukwazaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-70239039745426721482010-01-21T06:00:59.971-08:002010-01-21T06:00:59.971-08:00Mmhhh jamani kukaa na nywele miezi miwili ni hatar...Mmhhh jamani kukaa na nywele miezi miwili ni hatari na ni uchafu mkubwa sana kwa mwanamke anaejua nini usafi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-70495820826687042852010-01-21T01:48:23.444-08:002010-01-21T01:48:23.444-08:00jamani nywele kichwani miezi mitatu kwa mwanamke n...jamani nywele kichwani miezi mitatu kwa mwanamke ni uchafu duh utawatia mafua wenzako usafi ni muhimu dadaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-55443476723317237382010-01-20T20:54:48.249-08:002010-01-20T20:54:48.249-08:00umejuajaje violet, mimi nina rafiki yangu ambae ak...umejuajaje violet, mimi nina rafiki yangu ambae akisuka nyweli anakata miezi mitatu, ndio anasuka zingine, haendi salon wala nini, madai yake hela iende kihalali, mh! kazi kweli, ila kiuhalisia, style hii ya kukaa na nywele miaka, inakata nywele, kama hizi za kimasai, nyweli zinaisha kabisa, mwanamke suka nywele, wiki au wiki mbili then fumua,
Mama WiniAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-2835576347963725172010-01-20T04:41:26.908-08:002010-01-20T04:41:26.908-08:00mh!
wabongo tumezidi ubahiri
wewe utakaaje na nywe...mh!
wabongo tumezidi ubahiri
wewe utakaaje na nywele miezi miwili mitatu jamani?? hata waseme? kwanza nywele zinaficha mambo mengi sana hadi kunuka na hata chawa waweza ingia, lo!
mi staki
JOYSAnonymousnoreply@blogger.com