tag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post4993597416721673909..comments2024-03-13T06:35:09.077-07:00Comments on MAISHA , MAPENZI, UREMBO: USIMWAMINI RAFIKI KUPITA KIASI, (KIKULACHO KI NGUONI MWAKO)VIOLET........http://www.blogger.com/profile/17454645674881089302noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-70897271488486872992010-10-29T12:26:15.431-07:002010-10-29T12:26:15.431-07:00Mie nimeishi uzunguni na nimeona wazungu wa kike k...Mie nimeishi uzunguni na nimeona wazungu wa kike kazini mashoga wanapendana sana, watoto wao wanavaa nguo zinazo fanana, upikiana, uendeshana, ufanya sherehe na familia zao ukutana. Sie wengine tukaona wengine wanabahati ya kuwa ktk urafiki nzuri.Baada ya mwaka kupita, naona wanavunjiana vioo vya magari, na kupasuliana nguo. Bosi akapiga sim polisi wakaenda kumalizia huko. Mmoja wao akaamua ahache kazi, yaani hata bosi hakuweza kuwapatanisha, sijui walibiana wanaume, lakini wote waliolewa na wanawatoto.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-6131509342517319042010-10-29T06:18:51.395-07:002010-10-29T06:18:51.395-07:00lakini da violet, mimi nafikir mtu akielimika basi...lakini da violet, mimi nafikir mtu akielimika basi na umbea unapungua, inakuwaje hapa? mimi mwenzenu maisha yangu ni ya peke yangu, watu wamesemaaaaa weee, anaringa, anajiona yeye ndio yeye, sijui ninini, lakini wapi? sijaacha nafasi hata ya nukta, staki shobo, staki kero, hakuna rafiki wa kweli kabisa, haswa kwa sisi ngozi nyeusiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-82972207740084977282010-10-29T06:16:24.359-07:002010-10-29T06:16:24.359-07:00wanawake wambe sana, hakuna cha elimu wala niniwanawake wambe sana, hakuna cha elimu wala niniVIOLET........https://www.blogger.com/profile/17454645674881089302noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-46231138810773547812010-10-29T02:37:24.314-07:002010-10-29T02:37:24.314-07:00dada hayo uliyosema yote ya kweli kabisa ,mimi nil...dada hayo uliyosema yote ya kweli kabisa ,mimi nilikuwa na rafiki yangu ambaye nilikuwa nampa kila kitu, kuanzia kulala hadi mavazi yake yote yalikuwa juu yangu, lakini alichonifanya siwezi hata kusema na muachia Mungu tu ndio mlipaji wa yote. maana amenichafua na bado anaendelea kunichafua kwa watu mpaka kune simu yaani mpaka wakati mwingine nachanganyikiwa kabisa. lakini nimeamua kukaa kimnya na kushukuru kwa mungu tu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-69551252680774815462010-10-29T01:21:17.259-07:002010-10-29T01:21:17.259-07:00HAHAHAAAAA, YANI UMENICHEKESHA KWELI HII MADA YA L...HAHAHAAAAA, YANI UMENICHEKESHA KWELI HII MADA YA LEO, VIPI SHOST YALISHAKUKUTA NINI? MAANA ASILIMIA 100 YA ULIYOANDIKA NI KWELI TUPU, POLE MLIOCHELEWA KUJUA KUWA RAFIKI HAFAI, RAFIKI WA KWELI MOYO WAKO TU!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-55815649604829414492010-10-28T22:03:48.422-07:002010-10-28T22:03:48.422-07:00unachosema ni cha kweli kabisa violet, maana imesh...unachosema ni cha kweli kabisa violet, maana imeshanitokea mim, kuna mtu nilimwamini kupita kias, nikisafiri, familia yangu inakuwa mikononi mwake, kila mahari tupo wote, lakini alivyokuja kunigeuka, huwezi kuamini hapa juzi alifiwa na mkwewe, hata msibani sikuenda, amenisingizia maneno makubwa sana ambay menging hata siyajui, imeniuma sana na sitamsamehe hadi nakufaAnonymousnoreply@blogger.com