tag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post4665185856249648318..comments2024-03-13T06:35:09.077-07:00Comments on MAISHA , MAPENZI, UREMBO: NIMEKUTA CHUPI YA KIKE KWA MCHUMBA WANGU, ANASEMA YEYE HAIJUI NIFANYAJE.VIOLET........http://www.blogger.com/profile/17454645674881089302noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-5205538022346777452010-08-30T04:35:03.206-07:002010-08-30T04:35:03.206-07:00dada pole kwa yaliyokukuta...hiyo yote ni mitihani...dada pole kwa yaliyokukuta...hiyo yote ni mitihani ya maisha unayopewa na mungu na kukupima una uvumilivu kiasi gani ktk moyo wako...cha muhimu ckiliza pia moyo wako unataka nini na sio kusikiliza ushauri wa watu pekeee..ckiliza na moyo wako pia japo ushauri nao ni mzuri ila pima huo ushauri pamoja na moyo wakoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-46690863229533773742010-07-02T04:52:32.487-07:002010-07-02T04:52:32.487-07:00Mpendwa mdogo wangu,
Kwanza nikupe pole kwa uliyok...Mpendwa mdogo wangu,<br />Kwanza nikupe pole kwa uliyokutana nayo,kkwa upande wetu sisi Wakristo tunaamini kuwa Mungu hafanyi jambo bila kumjulisha Mtumishi wake.Kwa Upande wako binafsi naona Mungu anakupenda sana sasa kazi yako wewe ni kuamua kusuka au kunyoa kwani uamuzi wa mwisho unao mwenyewe.Kikubwa sana ni kwamba uwe na moyo mpana wa kuweza kuyapokea hayo lakini kama moyo wako ni mdogo nadhani ni kuepuka mapema maana ukiolewa nae utakufa kwa bp wakati kila siku unaletewa taarifa hii na ile.kaza buti mume mwema mtu hupewa na Mungu ni mwema,mpole,mwaminifu,mpenda maendeleo,pia anawapenda watu wa nyumbani mwake akiwemo na mke(mchumba)wake,sio msaliti.Dada tulia Dunia tuliyomo sio ya jana imechafuka,magonjwa ni mengi sasa ukiolewa na mtu ambaye sio mwaminifu halafu asiye na toba utajuta mbeleni.tulia mwangalie Mungu atakuonyesha njia.<br />Ni hayo tu.Ninakuombea kwa Mungu akupe Hekima ya kufanya maamuzi mema.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-71816142493208967662010-07-02T00:41:54.733-07:002010-07-02T00:41:54.733-07:00shosti huyo si mwanaume na inaonyesha mapenzi yame...shosti huyo si mwanaume na inaonyesha mapenzi yamepungua na kama angeuwa bado anakupenda ilikuwa ulivyorudi ukamuita angeitika hata kama yupo na huyo mwanamke wake asingetoa sababu lakini inavyoonyesha mwenzio anapendwa zaid kuliko wewe.cha muhimu kata mawasiliano kama anakupenda kwa dhati na anaujua umuhimu wako atakutafuta.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-4066424079326722562010-07-01T16:16:23.945-07:002010-07-01T16:16:23.945-07:00Huyo mzushiii tena kimbia, huyo ni mtu wa kucheat ...Huyo mzushiii tena kimbia, huyo ni mtu wa kucheat hata ukija kuolewa naye ataendelea kucheat. Mimi mwenyewe yalinikuta story inafanana kama yako nikaamua kubwaga manyanga.Hivi sasa nimeolewa na mtu mwingine na nina life nzuri tu ya ndoa. Sasa yule bwana alioa naye mwanamke mwingine lakini ninavyoandika hivi sasa ndoa yake ni balaa maana nasikia mwanaume anacheat kwa kwenda mbele hadi mkewe hana raha na ndoa imevunjika. Hivyo dada kaa chini na utafakari, uchumba si ndoa na kama ulivyoona hivyo umeenda field kidogo mwenzako kacheat.Je baadaye akija kukuoa si hata ukiondoka kikazi huku nyuma atacheat tena.Hivyo kuwa makini kama wanaume wapo tu utapata mwingine.Mkazi wa G/mbotonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-91666767065337804152010-07-01T05:30:02.922-07:002010-07-01T05:30:02.922-07:00Pole sana dada. Huyo mchumba si mwaminifu hata kid...Pole sana dada. Huyo mchumba si mwaminifu hata kidogo la muhim ni kuachana naye mapema kabisa usije juta baadaye. Wanaume wengi wa siku hizi ni wadanganyifu sana wanavalisha mabinti pete hata zaidi ya watatu. ACHANA NAYE KABISA HANA MAPENZI YA DHATI HUYO.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-13874208307876413972010-06-30T19:44:04.578-07:002010-06-30T19:44:04.578-07:00Inabidi ufikirie kama unaweza kumsamehe mtu wa nam...Inabidi ufikirie kama unaweza kumsamehe mtu wa namna hiyo amabaye hata akishikwa live bado anakataa anaendelea kutunga stori. Angekuwa anakuthamini hata kidogo angeomba msamaha alivyo kamatwa. Lakini huyo anaendelea kukudanganya na kukufanya mjinga tena wakati wote mmeona evidence ya viatu na chupi. Sidhani kama kweli anakupendaAnonymousnoreply@blogger.com