tag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post4299448468460486674..comments2024-03-13T06:35:09.077-07:00Comments on MAISHA , MAPENZI, UREMBO: NI SIKU IPI ILIKUUMIZA SANA MAISHANI MWAKO NA USINGEPENDA ITOKEE TENA????VIOLET........http://www.blogger.com/profile/17454645674881089302noreply@blogger.comBlogger16125tag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-40418191243410862662010-05-06T01:17:10.945-07:002010-05-06T01:17:10.945-07:00hahaaaaaaaaaaaa
wewe boazy wewe,
mh! ndio unanipak...hahaaaaaaaaaaaa
wewe boazy wewe,
mh! ndio unanipaka??? kichapo lazima kitembee tu! na wananijuwa, sitaki ujinga, wakikosea mara ya kwanza nawaambia, mara yapili kichapo,
ahhahahaaaaaaaaaaaaaaa, mtoto asionywa kwa kiboko, hata tabia zake zinakuwa haziko katika mstari, mii mwenyewe nilichapwa sana tu!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-85815108281814977722010-04-24T05:11:43.862-07:002010-04-24T05:11:43.862-07:00pole sana rafiki,inabidi utumie busara sana kumlea...pole sana rafiki,inabidi utumie busara sana kumlea na kumpenda zaidi,na uache tabia ya kumpipiga zaidi usiwe mkali saaaana kwa watoto boazy hapaUnknownhttps://www.blogger.com/profile/05299370625032463646noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-88366939621919239202010-02-14T05:37:23.834-08:002010-02-14T05:37:23.834-08:00Pole sana yaani sina hata lakusema, mshukuru Mungu...Pole sana yaani sina hata lakusema, mshukuru Mungu,mumyheryhttps://www.blogger.com/profile/00587673739873420894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-16525722240139139532010-02-10T02:23:38.598-08:002010-02-10T02:23:38.598-08:00Pole sana inatia simanzi!Pole sana inatia simanzi!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-41684136293315710472010-02-09T06:16:59.942-08:002010-02-09T06:16:59.942-08:00Pole sana mama Tracy,yn wakati nasoma nlihic km nd...Pole sana mama Tracy,yn wakati nasoma nlihic km ndo naona picha yenyewe,inackitisha sana,pole mumy.ASIA ALAWIAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-40283018578577795362010-02-09T02:31:46.209-08:002010-02-09T02:31:46.209-08:00Kusamehe mpenzi wangu ni lazima lazima usamehe ili...Kusamehe mpenzi wangu ni lazima lazima usamehe ili mungu aweze kukupigania na kuingilia kati mambo yako usipomsamehe nesi wewe ni mangapi umefanyia wenzako au kwa mungu mbona mungu amesamehe, kama huna mungu hutasamehe, lakini kama una mungu utasamehe kwa mungu kuna msamaha ili mungu agopwe bwana angehehesabu maovu nani angesimama
mpendwaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-90704105981834941072010-02-09T02:08:13.600-08:002010-02-09T02:08:13.600-08:00KAMA NI MIMI HUYO NESI WALA SIMSAMEHI,
LAZIMA NING...KAMA NI MIMI HUYO NESI WALA SIMSAMEHI,
LAZIMA NINGEMKOMESHA!
WE! ANIULIE MWANANGU HIVIHIVI, UNA MOYO DADAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-14998940764074580952010-02-09T02:00:37.459-08:002010-02-09T02:00:37.459-08:00POLE VIOLET
MIMI SITASAHAU SIKU NILIYOMKUTA MUME W...POLE VIOLET
MIMI SITASAHAU SIKU NILIYOMKUTA MUME WANGU WA NDOA AMELALA NA HOUSEGILR WANGU KITANDANI KWANGU
sijui kwanini nashindwa kusahau japo nilisamehe, nilimkuta mume wangu live na housemaid wetu, tena nilikua natoka safari, nilifiwa na mjomba wangu, nilipata lift na kurudi nilitaka kumfanyia suprise, nilichokikuta
mh! najuta mwenzio, sijui kama nitakuja kusahau, sijuiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-75398545531841680162010-02-09T01:58:46.104-08:002010-02-09T01:58:46.104-08:00Mungu akubariki sana mama T endelea kuwa ushuhuda ...Mungu akubariki sana mama T endelea kuwa ushuhuda katika maisha yako mshike sana yesu ng'ang'ania sana imani endelea kuwafunika watoto wako kwa damu ya yesu ili adui asipate nafasi, Binafsi sitasahau kaka yangu mpenzi na rafiki yangu alipokufa katika Ajali ya basi la No Challenge maaneo ya msangazi muheza walikufa basi zima lakini ukiangalia maeneo waliofia kama ilikuwa nguvu za giza akaacha mke mjazito baaba ya siku ishirini mtoto akazaliwa, huwa nikikumbuka kifo chake huwa naumia sana nikikumbuka mazishi yake tulimzika akitoka damu puani masikioni mdomoni huwa inauma lakini namshukuru mungu katuachia binti aitwae Witness yuko darasa la sita sasa lakini mungu ni mwema kila anachokifanya kwetu ni chema kabisa, Ila ninachojua mungu hakutuimbia misiba wala huzuni, mungu ni mungu wa furaha amani, na ushindi.basi dada v nakupa kamstari zab 105:1-5
MpendwaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-67669989875676206272010-02-09T01:55:06.955-08:002010-02-09T01:55:06.955-08:00Pole sana Amanda kwa kumpoteza Baba, Mungu akupe n...Pole sana Amanda kwa kumpoteza Baba, Mungu akupe nguvu,
WAPENDWA, HUWA napenda kuomba maombi ya kuweka NADHIRI, hivyo baada ya kutoka hospitali tu! nilitoa sadaka ya shukrani Kwa Mungu wangu
ASANTENIVIOLET........https://www.blogger.com/profile/17454645674881089302noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-38275285573442209792010-02-09T01:52:54.981-08:002010-02-09T01:52:54.981-08:00Pole sana dada na hongera kwa kuwa na imani endele...Pole sana dada na hongera kwa kuwa na imani endelea kuamini kwa Mungu anatenda.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-36837293440015288062010-02-09T01:46:18.013-08:002010-02-09T01:46:18.013-08:00nimelia sana Violet kutokana na hii story yako,
ni...nimelia sana Violet kutokana na hii story yako,
nimefikiria mbali sana, nimefikiria upweke ambao angebakia nao Tracy, kwani walishazowea kuwa wawili toka tumboni, nimelia hadi hapa ofisini wamenishangaa, nimejihisi ni mimi kabisa, Violet, MSHUKURU MUNGU MDOGO WANGU, pia nimejifunza kitu toka kwako,
NIMEJIFUNZA IMANI,
pole na hongera kwa kukuza mama, siku moja nikija dar ntakutafuta nimpatie Tymon zawadi,
nimeguswa sana. kwasasa niko UK
TASREEENAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-40240415507057183402010-02-09T01:43:29.120-08:002010-02-09T01:43:29.120-08:00MOJA KATI YA MADA ULIZOPOST NI ILE YA KUSEMA JE MA...MOJA KATI YA MADA ULIZOPOST NI ILE YA KUSEMA JE MACHOZI NI SULUHISHO LA MATATIZO YA MWANAMKE? Mimi nilipinga, nikasema sio suluhisho
LAKINI KWA HII STORY YAKO YA LEO, Nimekubali kwamba machozi yanaweza kusaidia sana, JIULIZE
1. USINGELIA KWA SAUTI DOKTA ANGEKUJA KUMUONA MWANAO?
2. MCHUKUWA MAITI ANGEKUMCHUKUA MTOTO ANGEENDA KUFIA WAPI KAMA SI MOCHWARI?
3. ULIKUMBUKA KUMSHUKURU MUNGU??
4. NASISITIZA KUMSAMEHE HUYO NESI
nimejikuta natoa machozi Violet, watoto wako wazuri sana, wamekuwa, nimejaribu kumuangalia huyo TRACY, it means kwamba sasa hivi angekuwa peke yake, na hy angekufa pasipo mpango wa Mungu, KUMBE SOMETYMES KULIA KUNASAIDIA SANA
VIOLET NIMEHUZUNISHWA SANA, SIKUJUI NA WALA HUNIJUI, ILA NINACHOKUOMBA TU! KAMA HUKUMSHUKURU MUNGU JUU YA HILI, NENDA KASHUKURU HARAKA SANA! maana bila Mungu usingekuwa na huyo mtoto, kamrudishie shukrani Mungu,
kweli hata kama mimi nisingeisahau hiyo siku

NIMEUMIA SANA.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-37037674488546040862010-02-09T01:30:57.078-08:002010-02-09T01:30:57.078-08:00Mh! Pole dada Violet, nimeumia as if ndo hicho kit...Mh! Pole dada Violet, nimeumia as if ndo hicho kitu kinatendeka muda huu, kweli mungu ni mwema na tumshukuru kwa kila jambo. Endelea kuomba na kushukuru nami nakuombea mungu akukuzie katika maadili mema.

Binafsi sitasahau siku ambayo nilifiwa na baba yangu kifo cha ghafla, bila hata ya kuumwa wala nini. 02/04/2009, mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, amina. Nilimpenda sana baba yangu lakini Mungu alimpenda zaidi.

AmandaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-26725866618662408012010-02-09T01:16:45.121-08:002010-02-09T01:16:45.121-08:00Nakusalimu katika Jina La yesu,
Pole kwa sana dad...Nakusalimu katika Jina La yesu,

Pole kwa sana dada na hongera kwa kumngangania Mungu, wanawake kama wewe ndio wanaohitajika katika kungangania.

Mi ushauri wangu ni kumfanyia maombi ya ukombozi mwanao kwa ile roho ya mauti iliyotaka kumchukua.

Kwa kweli kama sio huyu Mungu, sijui nisemeje.Hongera kwa ushindi. Kumbuka kumsamehe na usahau maana Mungu anasema anasamehe na anasahau. jitahidi kumwomba Mungu akupe neema ya kusahau kibinadamu hutaweza.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-34337196817929971892010-02-09T00:44:16.990-08:002010-02-09T00:44:16.990-08:00aisee pole sana dada!
story yako imenisikitisha s...aisee pole sana dada!
story yako imenisikitisha sana, pole sana mdogo wangu, kumbe watoto wengi wanakufa kizembe sana, MUNGU NA AKUKUZIE WATOTO WAKO VIOLETAnonymousnoreply@blogger.com