tag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post3397689936739611672..comments2024-03-13T06:35:09.077-07:00Comments on MAISHA , MAPENZI, UREMBO: KABLA HATA SIJAMUOA AMESHAANZA KUSEMA UONGO, (AMESINGIZIA MAMA YAKE KAFA,) NIKIMUOA TUTAWEZANA KWELI??VIOLET........http://www.blogger.com/profile/17454645674881089302noreply@blogger.comBlogger10125tag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-17778847536006602472012-01-12T11:35:22.630-08:002012-01-12T11:35:22.630-08:00mh mapenzi ni upofu hakuna mtu aliye kamilika na ...mh mapenzi ni upofu hakuna mtu aliye kamilika na mpaka ukampate aliye kamili umri utakuwa umeenda cha kufanya jaribu kumuweka sawa kwanza. ikishindikana siyo riziki yako tafta mwingine.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-12530195670398750132011-11-07T00:40:29.356-08:002011-11-07T00:40:29.356-08:00anaweza akawa muongo na sio muongo wakati mwingine...anaweza akawa muongo na sio muongo wakati mwingine anafnaya hivyo akuone unamsimamo gani juu yake, je akikwambia anamimba utamwamwambia atoe au abaki nayo? hapo atapata jibu, je upande wa ndugu zake je unamsimamo gani juu ya wazazi wake? Mama amefariki je unachukuliaje kama mume mtarajiwa? ulikimbia mbio kujua je nikweli? hapo jibu kapata. Ndugu yangu akili sasa ni kwako sisi tutakushauri tu lakini akili kumkichwa wengine wanatumia hivyo kuwajua wenza wao wanamalengo gani katika mahusiano? Na wengine wanatumia hivyo kutaka kuwachuna tu. Lakini kama alikiri na kutubu ukamsamehe na mkaingia kwenye sita kwa sita alitaka akupe jibu kuwa mimba hajatoa. Akili kumkichwa. Kwa ufupi ANAKUPENDA.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-16145998701209199132011-11-01T11:32:17.648-07:002011-11-01T11:32:17.648-07:00WE UTOE MIMBA SIKU UFANYE TENDO LA NDOA MONGO MKUB...WE UTOE MIMBA SIKU UFANYE TENDO LA NDOA MONGO MKUBWA HUO ACHANA NAYE KIMEO HUO ASIKUBABAISHE KABISAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-78031515741770764632011-11-01T00:15:22.781-07:002011-11-01T00:15:22.781-07:00Mh km unamjali na unampa hela za matumizi kulungan...Mh km unamjali na unampa hela za matumizi kulungana na uwezo wako ilo chenga la macho anachotaka kutoka kwako ni hela tu kweli mtu unaweza kumdanga mpenzi wako umefiwa na mama mzazi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-16386594599222753532011-10-27T23:31:15.732-07:002011-10-27T23:31:15.732-07:00u better run away fast, run bro runnnnnnnnnnnnnnnn...u better run away fast, run bro runnnnnnnnnnnnnnnnn.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-16596412400271643422011-10-26T04:39:38.668-07:002011-10-26T04:39:38.668-07:00ACHANA NAE KIMEO HUYO, ATAKUPOTEZEA MUDA BURE, YAN...ACHANA NAE KIMEO HUYO, ATAKUPOTEZEA MUDA BURE, YANI HUYO NI NGULI LA UONGO,Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-19153874920498829162011-10-26T04:15:11.906-07:002011-10-26T04:15:11.906-07:00Pole kaka.Hapo kuna kasababu kinachomfanya akudang...Pole kaka.Hapo kuna kasababu kinachomfanya akudanganye. Labda haumpi pesa za matumizi akatanue na marafiki zake. heheh. Ningependa kujua ana umri gani huyo binti? Na wewe una umri gani?

Hata mie ni mwanamke, nakumbuka nilipokuwa kijana nilikuwa na mpenzi hasie eleweka, halikuwa hajui kumpa ela mpenzie akanunue anachotaka. Nami kumuomba mtu naona aibu, basi tabu tu. Siku moja nikamuibia pesa, na nikamdanganya eti nilikuwa na mgeni labda ndio kaiba, mwisho akagundua kuwa nimemuibia. Ndio tukachana huku tunapendana, inauma sana.

Alipo gundua kama ilikuwa ni makosa yake mwenyewe kuto nipa mimi pesa za matumizi, akajilaumu sana ila ilikuwa to late.

Sababu haikuchelewa mie nikaolewa na mwingine, ambae anagawana na mimi anachopata bila kumuomba.

Ushauri wangu
kwanza kuliko yote jaribu kutafuta sababu inayomfanya akudanganye, kuzusha vituko vya uongo kwa sababu umpe ela. Muulize sababu zilizomfanya akudanganye, ela akizotaka alitaka kufanyia nini au kama anadeni!!!!na mulize je kama anania ya kukulaghai kipesa na anatumia hizo mbinu za uongo!!!!

Hakika ukimuliza kwa upole, na kumuakikishia kwa yote yaliotokea, atakuambia. pengine anadaiwa na rafiki yake au anataka kumpa mama yake ela nk.

Baada ya hapo, mkabidhi hizo laki 2 kama unazo.
Baada ya hapo. Kama haumpi ela za matumizi, jaribu kumpa mara kwa mara. Mulize maitaji yake, yaani unamuliza mwezi mara moja anaitaji kitu gani ili umpe ela akanunue au akastarehe na marafiki zake.

Hakikisha tu hasikufirisi, na hasikuyumbishe kipesa. Mpe kile unachotaka wewe na sio anachotaka yeye maana hizo ni pesa zako sio zake. Na usimzoeshe akuombe ombe ela. ni tabia mbaya.

Jua tu, waschana umri flani ni waongo sana, ndio wameumbwa hivo. Ndio ubaya wa kuwa na akili nyingi kichwani, wanataka wawazidi ujanja maboy friends zao.

Kama anakupenda tu, unaweza kupuuza uwo uongo wake, na unamuambia wazi kuwa uongo wake haupendi bora akitaka kitu aseme wazi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-73597002202223334042011-10-26T02:44:25.747-07:002011-10-26T02:44:25.747-07:00Hilo bomu kaka achana naye kabisaHilo bomu kaka achana naye kabisaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-66045331290598068232011-10-25T06:52:08.374-07:002011-10-25T06:52:08.374-07:00huyo binti hakufai kaka anataka akuchune tu anatum...huyo binti hakufai kaka anataka akuchune tu anatumia njia ya uongo kusudi umpatie hela mara ya kwanza amekudanganya anamimba anataka kutoa kusudi ukubaliane naye umpatie hela sasa alipoona umemwambia asitoe akaona sasa njia yake yakupata hela imebaunzi sasa akaja na njia nyingine yakusema mama yake amefariki na angali mama yake ni mzima tena huyu binti ni hatari kuliko ukimwi anawezaje kusema mama yake amefariki angali hai huyu kaanaye mbali kabisa akufaa afadhali mungu amekuonyesha mapema ukimuoa utakuja kujuta hakufai tafuta mwingine mwenye mapenzi ya kweli na wewe utampata hukuchelewa omba Mungu akuwezeshe kumpata mke mzuri kwani mke mzuri anatoka Mungu pole kakaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-88957064123139437862011-10-25T04:16:52.285-07:002011-10-25T04:16:52.285-07:00Ahahahahaaaa changa la macho hilo. Demu hakuwa na ...Ahahahahaaaa changa la macho hilo. Demu hakuwa na mimba huyo. Kutoa mimba nafikiri ni sawa na kuzaa tu. Huwezi kufanya mapenzi ndani ya siku nne. Ila binti anampenda huyo kijana. Alikujaribu ili aone kama utamfaa au kweli una mpango mwema na yeye. Inaelekea ni mwanamke mwema tu japokuwa kafanya hivyo but nikwasababu ya mapenzi.kama una nia ya kumuoa na muoe tu.Anonymousnoreply@blogger.com