tag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post1192889891325695141..comments2024-03-13T06:35:09.077-07:00Comments on MAISHA , MAPENZI, UREMBO: MUME WANGU ANANINYANYASA NA HATAKI KUNIPA TALAKA-NIFANYAJEVIOLET........http://www.blogger.com/profile/17454645674881089302noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-49572703949160321322010-06-26T06:31:31.344-07:002010-06-26T06:31:31.344-07:00duh,mamaangu kweli roho inaniuma sana niliposoma m...duh,mamaangu kweli roho inaniuma sana niliposoma mkasa wako, mm ni sawa na mtoto wako sina cha kukushauri ila namwamini tu mungu kwamba hakuna lililomshinda, wala huwezi kumuomba mungu mkate akakupa jiwe, piga magoti mlilie mungu mweleze yanayokusibu muombe akufungulie milango yake, akuonyeshe nyia ya kutokea kwenye huo msalabaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-70977979029425712342010-06-24T23:26:34.406-07:002010-06-24T23:26:34.406-07:00mmmhhh sijui nianzie wapi, kwanza nitoe pole kwa k...mmmhhh sijui nianzie wapi, kwanza nitoe pole kwa kinachoendelea kwenye familia yenu, mimi naomba nitofautiane na wachangiaji waliotangulia, napata wasi wasi kidogo, pamoja na kutomzalia mtoto huyu mume bado ameendelea kuishi na wewe hii kwangu inamaanisha kuwa anakupenda, ukamruhusu akazae nje akakubali na bado mkawa pamoja hili nalo bado linaashiria upendo wake kwako, lakini wasiwasi wangu umeanzia hapo mama wa huyo mtoto kufariki na wewe kumpiga huyu mke mwenzio hadi kumuumiza, kumbuka yeye hana kosa amependwa kama ulivyopendwa wewe sasa kwanini umpige? mimi nahisi wewe unaukatili fulani na pengine ndio kinachomfanya huyo mumeo akatafute amani kwingine, ushauri wangu kwako ni mmoja tu jichunguze kama wewe ndio chanzo cha huyo bwana kwenda kutafuta amani ya moyo wake kwingine, ukipata jibu lifanyie kazi, kuna sehemu imeandikwa mwanamke mpumbavu hubomoa ndoa yake yeye mwenyewe, sasa angalia usiwe mwanamke mpumbavu, hizo mali unazotaka kupigania si lolote kama huna amani moyoni, wangapi wameachiwa kila kitu lakini wanaishia kujinyonga wenyewe baada ya nafsi zao kuwasuta?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-45299866232839814932010-06-24T09:36:46.789-07:002010-06-24T09:36:46.789-07:00polesaamma yangu mie nina umri wa mika 22 sijaolew...polesaamma yangu mie nina umri wa mika 22 sijaolewa walasijawahi kupendana tkt maisha yg ila huwa nafatilia mambo mengi yamapenzi.so mambokama ayo mama yangu aliwahi kuyapitia ila alikuwajasiri na akayashinda.mimi nacho ona cha 1 chukua hati zote za nyumba zihifadhi sehem cos unaweza kutolwandani ya nyumba bila kujua.afu ndi uende mahakaani pia uwe makin sana na mume wako anawea hata kukuuwa sababuya mali mamaumbamunguatakusadia hayo nimajariu tu ya dni pole sana mamangunelychance joliehttps://www.blogger.com/profile/01372693919660071671noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-28908524797882176692010-06-24T02:30:16.679-07:002010-06-24T02:30:16.679-07:00pole mama yangu, Ondoka huyo jambawazi anataka kuk...pole mama yangu, Ondoka huyo jambawazi anataka kukudhurumu mali mlizochuma wote, pole sana mama, jaribu kufata alichokushauri huyo mdau hapo juu, nimeumizwa na mkasa wako mama, pole sanaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-61162488345530597432010-06-24T02:22:10.721-07:002010-06-24T02:22:10.721-07:00pole sana my dada sasa nenda mahakamani ukadai hak...pole sana my dada sasa nenda mahakamani ukadai haki yako usikubali nyumba ikauzwa mwanamme akikaa na mwanamke miaka mitatu mkiachana mnagawana mali usikubali kirahisi kama mna nyumba mbili akupatie moja aende kwa huyo kimada wake lakini ipo siku atakukumbuka muombe mungu malipo ni hapa hapa dunianiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-62604097001815932112010-06-23T07:51:33.382-07:002010-06-23T07:51:33.382-07:00duuh!pole sana,inasikitisha sn..kwann wanaume hawa...duuh!pole sana,inasikitisha sn..kwann wanaume hawa makatiri kiasi hiki?mi ushauri wangu <br />1)nenda mahakamani ukadai talaka yako kabla hajauza hiyo nyumba.ili mje kugawana sawa ivyo vitu.na kila kitu kitaamuriwa hapo mahakamani kwa haki,<br />2)kaa mbali na huyo mke mdogo na usimruhusu kufika kwako hata mara1,mnafki sn huyo huyo ndo alosababisha yote hayo,mtt mdogo kuchukua wazee ka baba ake ndo nn?<br />3)usimfikirie huyo mwanaume ingawa inauma sn,inabidi ujikaze na ujipe moypo kuwa unaweza kuishi bila yy<br />4)ushajua maovu ya mumeo ss akili kumkichwa,anza kujishughulisha na biashara i hope mda wote mliokuwa mkiishi kwa amani utakuwa unakijiakiba kidogo,other wise naweza kusema hujachelewa kitu chochote unaweza kusimama ww mwenyewe ktk maisha yako na kamwe usikubali kurudi kwenu na begi lako tu km ulivyofika kwa mumeo weka nia nautafanikiwa tu mungu yupo pa1 nawe na anaona jinsi unavyoteseka,malipo hapa hapa duniani watakiona cha moto ipo cku yao ama zao ama zako ila kumbuka kumuomba mungu sn.pole sn ndugu yanguAnonymousnoreply@blogger.com