email ya huyu dada siiweki hapa, maana nanjua kuna mtakaoamua kumsumbua dada wa watu, wewe kama uko serios, niinbox mimi, halafu mimi nitamforwadia huyo dada email yako.
Monday, November 19, 2012
ANATAFUTA MUME..... ALIE SERIOUS KUOA AITIKE ASEME HAPA
Habari dada.
Mimi
ni mdada wa miaka 35 nimependa kukuandikia ujumbe ili unisaidie kuuweka
kwenye blog yako ili yule atakayekuwa tayari kua mume wangu tuwasiliane
na mimi. Nimefikia kuandika ujumbe huu sababu nimeona kuna baadhi ya
walioandika wamefanikiwa. kwa ufupi mimi nina mtoto mmoja na ningependa
mume nitakayekuwa naye hata kama akiwa na mtoto nitamkubali na kumpokea
mtoto. Awe anafanya kazi au biashara ya maana. awe anamcha Mungu. awe
mwenye kujali familia.Asiyevuta sigara. Yeyote atakayekuwa tayari
awasiliana na mimi kwenye email yangu hii.
email ya huyu dada siiweki hapa, maana nanjua kuna mtakaoamua kumsumbua dada wa watu, wewe kama uko serios, niinbox mimi, halafu mimi nitamforwadia huyo dada email yako.
email ya huyu dada siiweki hapa, maana nanjua kuna mtakaoamua kumsumbua dada wa watu, wewe kama uko serios, niinbox mimi, halafu mimi nitamforwadia huyo dada email yako.
Saturday, November 3, 2012
MPENZI WANGU ALINIACHA, AKAAMUA KUISHI NA MWANAMKE MWINGINE, SASA ANAOMBA NISAMEHE TURUDIANE, NAOMBENI USHAURI
mambo vai
mm ni msichana mwenye umri wa
miaka 28, cjaolewa ila nimebahatika kupata mtoto mmoja ambaye tangu amezaliwa
ckuwahi kuishi na baba yake na kumlea inshort, tulishaachana
Baadae nilibahatika kumpata
kijana mwingine ambaye tulipendana sana Nilijisikia furaha sana kuwa nae
matokeo yake bila mm kujua kumbe alikuwa na mahusiano mengine na mwanamke
ambaye alimpa ujauzito na baadae kujifungua ambapo mm nilipokuja kujua na
niliumia sana, ckuumia kwa sbb ya yy kupata mtoto niliumia kwa sbb alinificha
hakuwa mkweli kwangu.
Siku tuliyokutana alinipokea
vzuri na kuomba msamaha sana kwa sbb aligundua kuwa amenikatisha tamaa na ckuwa
najisikia vzuri, katika mazungumzo yetu nikamuuliza swali moja tu una mpango
gani ss na huyo dada, akanijib hawezi ishi nae ktk maisha yake,jibu lake lilinipa amani tukarudiana,.
kadri siku zilivyozid kwenda
nikaona anaanza kubadilika nikimpigia hapokei, msg hajib kumbe yule dada
alishahamia kwake nilipojarib kumuuliza akasema ndio kwani ni dhambi yy kukaa
na mwanae ? niliumia sana nikasema ngoja niachane nae na siitaji kuwasiliana
nae awe free na familia yake
juzi nimebadili cm ambayo naitumia nikaona
ananzaa kunisumbua na kuomba msamaha kuwa anataka kuendelea na mm, na c mara
moja kwa kuhesabu ni zaidi hata ya mara ishirini anaomba msamaha, nimekuwa
cimuelewi kwa sbb kama anaishi na mtu iweje aendelee kuomba msamaha na
anasubutu kusema hawezi kbs kuishi bila mm kwa yale niliyomfanyia na
nilivyokuwa namjali na kumyenyekea, ameona mm ni mwanamke ambaye alikuwa
naniitaji ktk maisha yake, naomba ushauri hv huyu kijana anamaanisha au ni
msanii tu, ingawa bado nampenda ila nimekuwa muoga sana
Subscribe to:
Posts (Atom)